Yordani

المملكة الأردنية الهاشمية
Al-Mamlakah al-Urduniya al-Hāšimiya

Ufalme wa Kihashemi wa Yordani
Bendera ya Yordani Nembo ya Yordani
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: {{{national_motto}}}
Wimbo wa taifa: عاش المليك
' ash al-malik   
"Heri kwa mfalme"
Lokeshen ya Yordani
Mji mkuu Amman
31°57′ N 35°56′ E
Mji mkubwa nchini Amman
Lugha rasmi Kiarabu
Serikali Ufalme wa Kikatiba
Abdullah II
Bisher Al-Khasawneh
Uhuru
Tarehe

25 Mei 1946
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
89,342 km² (ya 112)
0.8
Idadi ya watu
 - Julai 2019 kadirio
 - 2015 sensa
 - Msongamano wa watu
 
10,407,793 (ya 86)
9,531,712
114/km² (ya 70)
Fedha Dinar ya Yordani (JOD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
UTC+2 (UTC+2)
UTC+3 (UTC+3)
Intaneti TLD .jo
Kodi ya simu +962



Yordani (pia: Jordan, Jordani; kwa Kiarabu; الأردنّ "al-urdun") ni ufalme wa Kiarabu katika Mashariki ya Kati.

Jina la nchi limetokana na mto Yordani ambao ni mpaka wake upande wa magharibi na Israel na eneo la Palestina ya leo.

Jina rasmi ni Ufalme wa Kihashemi wa Yordani (kwa Kiarabu: المملكة الأردنية الهاشمية ) kutokana na familia ya kifalme.

Imepakana na Syria, Iraq, Saudi Arabia, Palestina na Israeli.

Ina pwani fupi kwenye Ghuba ya Aqaba ya Bahari ya Shamu.

Mji mkuu ni Amman.

Jiografia

Sehemu kubwa ya nchi ni jangwa.

Bahari ya Chumvi ina kiwango kikubwa cha chumvi, kiasi kwamba watu wanaweza kuelea juu yake bila juhudi yoyote.

Historia

Nchi ya sasa ilianzishwa kwa jina la "Transjordan" (ng'ambo ya mto Yordani) kama sehemu ya eneo la Palestina lililotawaliwa na Uingereza kwa niaba ya Shirikisho la Mataifa baada ya mwaka 1918.

Waingereza waliamua kutenganisha eneo hilo na Palestina upande wa magharibi wa mto Yordani na kuiweka tangu mwaka 1921 chini ya mamlaka ya Abdullah bin al-Husayn wa familia ya Wahashemi aliyekuwa mtoto wa Sharif wa Makka wa mwisho kabla ya mji huu kutwaliwa na Wasaudi.

Kwa hatua hiyo Uingereza ililenga kuimarisha uhusiano wake na makabila ya Waarabu wa jangwa. Abdullahi alitawala awali kwa cheo cha emir baadaye kama mfalme wa "Transjordan".

Jeshi lake lilishiriki katika vita ya mgawanyo wa Palestina na Israeli miaka 1948-1949 na kushika sehemu ya Palestina isiyotawaliwa na Israeli.

Baada ya vita ya siku sita ya mwaka 1967 maeneo yote upande wa magharibi wa mto Yordani yaliyotawaliwa na mfalme Hussein II mwandamizi wa Abdallah tangu mwaka 1952.

Mwishowe aliacha madai yote ya utawala juu ya sehemu hizo.

Sehemu ya kambi ya Zaatari yenye wakimbizi 80,000 kutoka Syria.

Watu

Wenyeji walio wengi (95-97%) ni Waarabu wenye undugu mkubwa kijenetikia na Waashuru Wakristo ambao ni 0.8%.

Kuna umati wa wakimbizi kutoka Palestina (ingawa wengi wamepata uraia) na miaka ya mwisho kutoka Iraki na Siria. Wageni wote ni 30% za wakazi.

Lugha rasmi na ya kawaida ni Kiarabu.

Upande wa dini, 95% ni Waislamu (karibu wote Wasuni), 4% ni Wakristo (hasa Waorthodoksi na Wakatoliki), 1% ni Wadruzi na wachache ni Bahai.

Tazama pia

Viungo vya nje

Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iraq | Israel | Jamhuri ya China (Taiwan) | Japani | Kamboja | Kazakhstan | Kirgizia | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Laos | Lebanoni | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Saudia | Singapuri | Sri Lanka | Syria | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Turkmenistan | Uajemi | Ufilipino | Uhindi | Urusi1 | Uthai | Uturuki1 | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China.


Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Yordani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Read other articles:

Italian actor, screenwriter and director (1902–1991) This article is about the actor. For the athlete, see Alfredo Rizzo (athlete). Alfredo RizzoRizzo in Una bruna indiavolata! (1951)Born(1902-01-02)2 January 1902Nice, FranceDied6 September 1991(1991-09-06) (aged 89)Rome, Italy Alfredo Rizzo (2 January 1902 – 6 September 1991) was an Italian actor, screenwriter and director. Life and career Born in Nice, France into a family of actors, Rizzo started his career as an actor of avanspet...

Benoît Vaugrenard Datos personalesNacimiento Vannes (Francia)5 de enero de 1982 (41 años)País  FranciaNacionalidad(es) FrancesaCarrera deportivaDeporte CiclismoDisciplina CarreteraTrayectoria Equipos amateur 20012002 Véloce VannetaisJean Floc'h Equipos profesionales 2003-2019 FDJ Página web oficial[editar datos en Wikidata] Benoît Vaugrenard (Vannes, Francia, 5 de enero de 1982) es un ciclista francés que fue profesional desde 2003 hasta 2019. Formó parte del equip...

مغربة صيبر تقسيم إداري البلد  اليمن المحافظة ريمة المديرية الجعفرية العزلة عزلة بني واقد معلومات أخرى التوقيت توقيت اليمن (+3 غرينيتش) تعديل مصدري - تعديل   مغربة (صيبر) منطقة يمنية في عزلة بني واقد[1]، أحد عزل مديرية الجعفرية، ضمن محافظة ريمة، اليمن الجمهورية اليمني...

Trường Y khoa Đại học Missouri-Columbia (University of Missouri-Columbia School of Medicine) toạ lạc tại khu vực phía nam khuôn viên của Đại học Missouri ở Columbia. Đây là trường Y khoa hỗ trợ công cộng đầu tiên phía tây sông Mississippi. Trường cung cấp các chương trình học nhấn mạnh giáo dục y học dựa trên kinh nghệm khám chữa bệnh và nghiên cứu[1]. Trường Y khoa là tiên phong trong lĩnh vực g...

село Єльники рос. Ельникиерз. Куз веле Країна  Росія Суб'єкт Російської Федерації Мордовія Муніципальний район Єльниківський район Поселення Єльниківське Код ЗКАТУ: 89218825001 Код ЗКТМО: 89618425101 Основні дані Населення 5905 осіб (2010[1]) Поштовий індекс 431370 Телефонний код +7&#...

Association football club in Scotland SMFC redirects here. For the English football club, see Solihull Moors F.C. Football clubSt MirrenFull nameSt Mirren Football ClubNickname(s)The BuddiesThe SaintsFounded1877; 146 years ago (1877)GroundSt Mirren Park, PaisleyCapacity7,937[1]ChairmanJohn NeedhamManagerStephen RobinsonLeagueScottish Premiership2022–23Scottish Premiership, 6th of 12WebsiteClub website Home colours Away colours Current season St Mirren Football Club...

هذه المقالة تحتاج للمزيد من الوصلات للمقالات الأخرى للمساعدة في ترابط مقالات الموسوعة. فضلًا ساعد في تحسين هذه المقالة بإضافة وصلات إلى المقالات المتعلقة بها الموجودة في النص الحالي. (يونيو 2017)   الجمعية الطبية الأمريكية الجمعية الطبية الأمريكية‌   البلد الولايات ال�...

?Морський слон південний Охоронний статус Найменший ризик (МСОП 3.1) Біологічна класифікація Домен: Еукаріоти (Eukaryota) Царство: Тварини (Animalia) Тип: Хордові (Chordata) Клас: Ссавці (Mammalia) Ряд: Хижі (Carnivora) Підряд: Псовиді (Caniformia) Надродина: Ластоногі (Pinnipedia) Родина: Тюленеві (Phocidae) Рі�...

Untuk sekuel acara ini dengan pembawa acara yang sama, lihat Bercanda Pagi. Pagi PagiGenreAcara varietasPresenterAndre TaulanyHesti PurwadinataNegara asalIndonesiaBahasa asliBahasa IndonesiaProduksiLokasi produksiGedung The East, Jakarta Lt. 27 (2015-2016)PSI Pengadegan (2016-2019)Durasi90 menitRumah produksiNET. EntertainmentDistributorNet Mediatama TelevisiIndika Entertainment GroupRilisJaringan asliNET.Format gambarHDTV (1080i 16:9)Format audioDolby Digital 5.1Rilis asli4 Mei 2015 (20...

Artikel ini berisi konten yang ditulis dengan gaya sebuah iklan. Bantulah memperbaiki artikel ini dengan menghapus konten yang dianggap sebagai spam dan pranala luar yang tidak sesuai, dan tambahkan konten ensiklopedis yang ditulis dari sudut pandang netral dan sesuai dengan kebijakan Wikipedia. (Juli 2023) Taman Hewan PematangsiantarDibuka27 November 1936LokasiPematang Siantar, Sumatera Utara, IndonesiaLuas area4 hektare (9,9 ekar)Jumlah koleksi715 ekor (Tahun 2012)Jumlah spesies183 spesies ...

Japanese stage play and anime series Nobunaga the FoolCover of the first DVD collection released by Sentai Filmworksノブナガ・ザ・フール(Nobunaga za Fūru)Created byShōji Kawamori Anime television seriesDirected byHidekazu SatōProduced byYoshikazu BeniyaTakema OkamuraShō TanakaTerushige YoshieManami WatanabeKazuo ŌnukiHiroki KitayoshiMasako IwamotoWritten byShōji KawamoriMusic byMasaru YokoyamaStudioSatelightLicensed byAUS: Madman EntertainmentNA: ...

Jane Morgan (1880–1972)[1] Jane Morgan (* 6. Dezember 1880 im Warmley, Gloucestershire; † 1. Januar 1972 in North Hollywood, Los Angeles, Kalifornien), geboren als Jennie Morgan, war eine US-amerikanische Schauspielerin, Sängerin und Musikerin walisischer Abstammung.[2][3][4][5] Inhaltsverzeichnis 1 Leben 2 Karriere 3 Filmografie (Auswahl) 3.1 Film 3.2 Fernsehen 4 Theater (Auswahl) 5 Weblinks 6 Einzelnachweise Leben Morgan wurde als Tochter walisis...

Szwajcaria Ten artykuł jest częścią serii:Ustrój i politykaSzwajcarii Ustrój polityczny Ustrój polityczny Szwajcarii Konstytucja Konstytucja Szwajcarii Władza ustawodawcza Zgromadzenie Federalne Rada Narodu Rada Kantonów Władza wykonawcza Prezydent Rada Związkowa Kanclerz federalny Szwajcarii Władza sądownicza Wymiar sprawiedliwości Federalny Sąd Najwyższy Federalny Trybunał Karny Federalny Sąd Administracyjny Prokurator Generalny Kontrola państwowa Kontrola państwowa Fina...

Pejorative epithet for Great Britain For the magazine, see Perfidious Albion (magazine). A WW1-era German propaganda poster invoking the Perfidious Albion trope Perfidious Albion is a pejorative phrase used within the context of international relations diplomacy to refer to acts of diplomatic slights, duplicity, treachery and hence infidelity (with respect to perceived promises made to or alliances formed with other nation states) by monarchs or governments of the United Kingdom (or Great Bri...

Fishing technique Drift netting. Drift netting is a fishing technique where nets, called drift nets, hang vertically in the water column without being anchored to the bottom. The nets are kept vertical in the water by floats attached to a rope along the top of the net and weights attached to another rope along the bottom of the net.[1] Drift nets generally rely on the entanglement properties of loosely affixed netting. Folds of loose netting, much like a window drapery, snag on a fish...

Market town in Cheshire, England Market town in EnglandMalpasMarket townSt Oswald's Church, Malpas from the southwestMalpasLocation within the United KingdomPopulation1,673 (2011 census)OS grid referenceSJ487472Civil parishMalpas[1]Unitary authorityCheshire West and ChesterCeremonial countyCheshireCountryEnglandSovereign stateUnited KingdomPost townMALPASPostcode districtSY14Dialling code01948UK ParliamentEddisbury List of places UK England...

Questa voce o sezione sull'argomento centri abitati della Spagna non cita le fonti necessarie o quelle presenti sono insufficienti. Puoi migliorare questa voce aggiungendo citazioni da fonti attendibili secondo le linee guida sull'uso delle fonti. Segui i suggerimenti del progetto di riferimento. Buciegascomune Buciegas – Veduta LocalizzazioneStato Spagna Comunità autonoma Castiglia-La Mancia Provincia Cuenca TerritorioCoordinate40°19′59.88″N 2°27′00″W /...

Sperm whale that inspired the novel Moby Dick Mocha DickMocha Dick: Or The White Whale of the Pacific by Jeremiah N. Reynolds, Cameron and Ferguson, London, Glasgow. 1870.Other name(s)The White WhaleSpeciesSperm whale (Physeter macrocephalus)SexmaleBornbefore 1800Died1838Pacific OceanCause of deathKilled by whalersYears active1810–38Known forAttacking shipsResidenceoff Mocha IslandHeight70 ft (21 m) in lengthAppearancealbino, head covered with barnaclesNamed afterMocha I...

James BonhamJames Bonham, circa 1935.BornFebruary 20, 1807Saluda County, South CarolinaDiedMarch 6, 1836 (aged 29)San Antonio, TexasAllegianceRepublic of TexasService/branchTexian ArmyYears of service1835-1836RankSecond lieutenantBattles/wars Texas Revolution Battle of the Alamo † James Butler Bonham (February 20, 1807 – March 6, 1836) was a 19th-century American soldier who died at the Battle of the Alamo during the Texas Revolution. He was a second cousin of William B. Tra...

2003 American filmGrand Theft ParsonsTheatrical posterDirected byDavid CaffreyWritten byJeremy DrysdaleProduced byFrank MannionStarringJohnny KnoxvilleMichael ShannonChristina ApplegateCinematographyRobert HayesEdited byMary FinlayAlan RobertsMusic byRichard G MitchellDistributed byMetro-Goldwyn-MayerRelease dates6 November 2003 (London Film Festival)21 January 2004 (Sundance Film Festival)Running time88 minCountriesUnited StatesUnited KingdomLanguageEnglish Grand Theft Parsons is a 2003 come...