Maldivi iko hatarini kupotea. Ni kwamba kimo cha juu cha nchi yake ni mita 5.1 pekee juu ya uwiano wa bahari, na wastani wake ni mita 1.5 tu. Hivyo, kama mabadiliko ya hali ya hewa kutokana kwa kupanda kwa halijoto duniani yatazidi kuleta kupanda kwa uwiano wa bahari, nchi hii yote itazama chini ya maji.
1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China.
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Maldivi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.