Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Mto Rau

Mto Rau ni tawimto la mto Jipe Ruvu ambao ni kati ya vyanzo viwili vikuu vya mto Pangani ambao maji yake yanaishia katika bahari ya Hindi (mkoa wa Tanga, kaskazini mashariki mwa nchi Tanzania).

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Kembali kehalaman sebelumnya