Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Mto Rungwa

Mto Rungwa ni mmojawapo kati ya mito ya Tanzania. Unaanzia katika mkoa wa Singida, unatiririka upande wa kusini magharibi na kuishia katika ziwa Rukwa.[1][2]

Tazama pia

Tanbihi

  1. Hughes, R. H.; Hughes, J. S. (1992). A Directory of African wetlands. IUCN. uk. 251. ISBN 978-2-88032-949-5. Iliwekwa mnamo 31 Machi 2012.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Royal Geographical Society (Great Britain) (1880). Proceedings of the Royal Geographical Society and monthly record of geography. Edward Stanford. uk. 763. Iliwekwa mnamo 31 Machi 2012.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

Kembali kehalaman sebelumnya