Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Mto Kimbi

Mto Kimbi ni kati ya mito ya mkoa wa Mbeya (Tanzania Kusini Magharibi), tawimto la Ruaha Mkuu, unaotiririka hadi kuingia mto Rufiji ambao unaishia katika Bahari Hindi.

Tazama pia

Viungo vya nje

Kembali kehalaman sebelumnya