Ukwala ni mji wa Kenya katika kaunti ya Siaya.
Mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 57,081[1].
Ukwala ni kata ya eneo bunge la Ugenya[2].
Tanbihi
Viungo vya nje
| Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ukwala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |