Kaunti ya Kisumu
Ramani ya Kaunti ya Kisumu, Kenya
Uwanja wa ndege wa Kisumu, kenya
Kaunti ya Kisumu ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010 .
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 1,155,574 katika eneo la km2 2,085.4, msongamano ukiwa hivyo wa watu 554 kwa kilometa mraba [ 1] .
Makao makuu yako Kisumu .
Utawala
Kaunti ya Kisumu ina maeneo bunge yafuatayo[ 2] :
Eneo bunge
Kata
Kisumu ya Kati
Railways , Migosi , Shaurimoyo , Kaloleni , Market Milimani , Kondele , Nyalenda B
Kisumu Mashariki
Kajulu , Kolwa East , Manyatta 'B' , Nyalenda 'A' , Kolwa Central
Kisumu Magharibi
South West Kisumu , Central Kisumu , Kisumu North , West Kisumu , North West Kisumu
Muhoroni
Miwani , Ombeyi , Masogo/Nyang'oma , Chemelil/Muhoroni , Koru
Nyakach
South East Nyakach , West Nyakach , North Nyakach , Central Nyakach , South West Nyakach
Nyando
East Kano , Awasi/Onjiko , Ahero , Kabonyo/Kanyag Wal , Kobura
Seme
West Seme , Central Seme , East Seme , North Seme
Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [ 3]
Kisumu East 220,997
Kisumu Central 174,145
Kisumu West 172,821
Seme 121,667
Muhoroni 154,116
Nyando 161,508
Nyakach 150,320
Tazama pia
Tanbihi
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kaunti ya Kisumu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .