Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Mto Ingoko

Mto Ingoko unapatikana katika kaunti ya Kitui, mashariki mwa Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na hatimaye katika bahari ya Hindi.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Kembali kehalaman sebelumnya