Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Mto Thuchi

Mto Thuchi unapatikana katika kaunti ya Embu, katikati ya Kenya.

Ni tawimto la mto Tana ambao ndio mrefu kuliko yote nchini na unaishia katika Bahari ya Hindi.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Kembali kehalaman sebelumnya