Mto Sondu (au mto Miriu) unapatikana nchini Kenya na unaishia katika ziwa Viktoria, ukichangia hivyo mto Naili na hatimaye Bahari ya Kati.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
| Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Sondu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |