Ubora![]()
Ubora ni sifa ya kiumbehai au kitu chochote hasa kulingana na wengine au vingine vya aina ileile. Pengine ubora unatakiwa kulingana na kiwango kinachotarajiwa na watumiaji na sheria za nchi. Kwa ajili hiyo kuna taasisi maalumu zinazothibitishwa kuwa unafikia kiwango hicho. Bila uthibitisho huo bidhaa haiwezi kuuzwa. Ubora (kibiashara)Kwenye biashara uhandisi ubora unatafsiriwa kisayansi kama uwezo wa kutokuwa na mapungufu wa kitu. Ubora ni dhahiri, una sifa fulani ya kujitegemea na unaweza kueleweka tofauti na watu tofauti pia. Watumiaji wanaweza kuangalia pia ubora wa vipimo vya bidhaa, na ubora wa kufanana wa bidhaa. Wafanyakazi wa msaada wanaweza kupima ubora kwa hatua ambayo bidhaa huweza kuaminika na kudumishwa. MaelezoKuna vipengele vitano vya ubora kibiashara:
Ubora uliotumia njia hizi uliendelea kwa kuwa na makampuni ya manunuzi ya NASA,viwanda vya jeshi na nyuklia kuanzia miaka ya 1960 na hii ndiyo sababu ya msisitizo wa kuhakikisha ubora.
|