Falsafa (kutoka Kigirikiφιλοσοφίαfilosofia = filo, pendo la sofia, hekima) ni jaribio la kuelewa na kueleza ulimwengu kwa kutumia akili inayofuata hoja za mantiki. Kwa hiyo ili kutengeneza falsafa yako kunahitajika kuwa na hoja za msingi, hoja zilizojaa hoja (akili), kisha kuiweka falsafa yako kwa jamii ili waisome na kuielewa. Wapo watakaokubaliana na wewe kulingana na hoja zako na wapo watakaokupinga kutokana na hoja zako vilevile.
Tofauti na dini, imani au itikadi, njia ya falsafa ni mantiki inayoeleza hatua zake ikiwa tayari kuchungulia upya kila hatua iliyochukua. Kwa hiyo falsafa ni njia ya kuuliza maswali na kutafuta majibu.
Katika lugha ya kila siku neno "falsafa" mara nyingi linachukuliwa kutaja jumla ya mafundisho au imani ya mtu au kundi la watu, kwa mfano "falsafa ya chama fulani", "falsafa ya maisha yangu" na kadhalika. Lakini kwa jumla fikra hizo hazistahili kuitwa "falsafa". Ila tu kuna makundi ya wanafalsafa wanaopendelea mielekeo tofauti na kuhusu haya inawezekana kutumia neno "falsafa ya fulani" kwa kutaja matokeo ya kazi yao.
Matawi ya falsafa
Falsafa jinsi inavyoendeshwa kwenye vyuo vikuu huwa na matawi kadhaa kama vile:
mantiki kama elimu ya kutafakari na mfululizo wa dhana
Kuna mbinu nyingi za falsafa zilizoendelea kulingana na mazingira ya utamaduni ambako wanafalsafa waliishi. Mara nyingi falsafa imeendelea karibu na dini, ndani ya dini au kwa mchanganyiko na dini mbalimbali.
Lakini falsafa inachunguza pia matamko ya dini na kuuliza maswali juu ya maana ya matamko haya.
Chanzo cha falsafa katika Ulaya kilitokea katika ustaarabu wa Ugiriki ya Kale. Wanafalsafa wa huko waliweka misingi mingi kwa dunia ya baadaye pamoja na misingi ya sayansi ya sasa. Kati ya majina mashuhuri ni Plato na Aristoteli.
Oizerman, Teodor (1988). The Main Trends in Philosophy. A Theoretical Analysis of the History of Philosophy(PDF). translated by H. Campbell Creighton, M.A., Oxon (tol. la 2nd). Moscow: Progress Publishers. ISBN5-01-000506-9. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo(DjVu, etc.) mnamo 2012-03-06. Iliwekwa mnamo 20 Januari 2011 First published in Russian as «Главные философские направления» {{cite book}}: Cite has empty unknown parameters: |laydate=, |separator=, |nopp=, |chapterurl=, |trans_chapter=, |laysummary=, |authormask=, na |lastauthoramp= (help); Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: postscript (link)
Oizerman, Teodor (1973). Problems of the History of Philosophy. translated from Russian by Robert Daglish (tol. la 1st). Moscow: Progress Publishers. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 6 Julai 2011. Iliwekwa mnamo 20 Januari 2011 First published in Russian as «Проблемы историко-философской науки» {{cite book}}: Cite has empty unknown parameters: |laydate=, |separator=, |nopp=, |trans_title=, |trans_chapter=, |laysummary=, |chapterurl=, |authormask=, na |lastauthoramp= (help); Unknown parameter |deadurl= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: postscript (link)
Ya kale
Knight, Kelvin. Aristotelian Philosophy: Ethics and Politics from Aristotle to MacIntyre. ISBN978-0-7456-1977-4
Karne za kati
The Phenomenology Reader by Dermot Moran, Timothy Mooney
Kim, J. and Ernest Sosa, Ed. (1999). Metaphysics: An Anthology. Blackwell Philosophy Anthologies. Oxford, Blackwell Publishers Ltd.
Bullock, Alan, R. B. Woodings, and John Cumming, eds. The Fontana Dictionary of Modern Thinkers, in series, Fontana Original[s]. Hammersmith, Eng.: Fontana Press, 1992, cop. 1983. xxv, 867 p. ISBN978-0-00-636965-3
The Cambridge Dictionary of Philosophy by Robert Audi
The Routledge Encyclopedia of Philosophy (10 vols.) edited by Edward Craig, Luciano Floridi (available online by subscription); or
The Concise Routledge Encyclopedia of Philosophy edited by Edward Craig (an abridgement)
Edwards, Paul, mhr. (1967). The Encyclopedia of Philosophy. Macmillan & Free Press. {{cite book}}: Unknown parameter |editorlink= ignored (|editor-link= suggested) (help); in 1996, a ninth supplemental volume appeared that updated the classic 1967 encyclopedia.
Popkin, R.H. (1999). The Columbia History of Western Philosophy. New York, Columbia University Press.
Bullock, Alan, and Oliver Stallybrass, jt. eds. The Harper Dictionary of Modern Thought. New York: Harper & Row, 1977. xix, 684 p. N.B.: "First published in England under the title, The Fontana Dictionary of Modern Thought." ISBN978-0-06-010578-5
Reese, W. L.Dictionary of Philosophy and Religion: Eastern and Western Thought. Atlantic Highlands, N.J.: Humanities Press, 1980. iv, 644 p. ISBN978-0-391-00688-1