Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Watharaka

Watharaka ni kabila la watu wa jamii ya Wameru wanaoishi nchini Kenya, katika kaunti ya Tharaka-Nithi.

Lugha yao ni Kimeru, mojawapo kati ya lugha za Bantu.

Tanbihi

Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Watharaka kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Kembali kehalaman sebelumnya