Severity: Notice
Message: Undefined offset: 1
Filename: infosekolah/leftmenudasboard.php
Line Number: 33
Line Number: 34
Waminimi (kwa Kilatini Ordo Minimorum) ni watawa wa Kanisa Katoliki wanaomfuata mkaapweke Fransisko wa Paola kutoka Italia kusini.
Mwishoni mwa mwaka 2008 shirika lilikuwa na watawa 180, kati yao mapadri 112, katika konventi 45 ambazo ziko Ulaya (Uceki, Italia, Hispania, Ukraina) na Amerika (Brazil, Colombia, Mexico, Marekani).[1]