Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Volker Roth

Volker Roth (1 Februari 194217 Februari 2025) alikuwa mwamuzi wa mpira wa miguu kutoka Ujerumani. Anajulikana zaidi kwa kuchezesha mechi mbili katika Kombe la Dunia la FIFA 1986 nchini Mexico. Baada ya kustaafu, alihudumu kama mshauri wa waamuzi kwa UEFA.

Alifariki mnamo 17 Februari 2025 akiwa na umri wa miaka 83. [1][2]

Marejeo

  1. "Volker Roth". DFB.de (kwa German). Iliwekwa mnamo 15 Agosti 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  2. "DFB trauert um Volker Roth". DFB. 18 Februari 2025. Iliwekwa mnamo 18 Februari 2025.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Volker Roth kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Kembali kehalaman sebelumnya