Kuna hadithi mbalimbali juu yake. Mojawapo inasema Valentinus aliandika barua kwa binti aliyekuja kumsalimia gerezani; mwisho wa barua alihitimisha kwa maneno haya: Kutoka kwa Valentinus wako.
Mbali ya hadithi, askofu huyo alijulikana kwa miujiza yake. Huko Terni, mnamo 2011, ilipatikana mifupa ya Sabino e Serapia: mmoja alikuwa Mpaganiakida wa jeshi la Roma, mwingine msichanaMkristo motomoto. Kwa ajili yake Sabino aliongokea Ukristo, lakini baada ya muda mfupi aligundua kwamba Serapia ni mgonjwa wa kifua kikuu. Ili asitengane naye, Sabino alimuomba Valentinus, naye alibariki ndoa yao na kuomba mapendo yao yadumu milele. Baadaye walifariki pamoja wamekumbatiana na ndivyo mifupa yao inavyopatikana hadi leo.
Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 48
Johannes Baptista de Rossi et Ludovicus Duchesne, Martyrologium Hieronymianum: ad fidem codicum adiectis prolegomenis, Ex Actibus Sanctorum Novembris, Tomi II, pars prior, Bruxellis, 1894, LXXXII, p. 195, S. Valentinus, p. 20.
Agostino Amore, Valentino, presbitero, santo, martire di Roma (?), Bibliotheca sanctorum, 12:896-897, Roma, 1961-1970.
Agostino Amore, S. Valentino di Roma o di Terni?, Antonianum 41, 1966, pp 260–77.
Francesco Scorza Barcellona, San Valentino di Roma e/o di Terni tra storia e agiografia, in Rosetto, ed. Flaviano, 2000, Il culto di San Valentino nel Veneto, Padova, 2009, p. 198.
Vincenzo Pirro (a cura di), San Valentino Patrono di Terni, Ed. Thyrus, Arrone, 2009.
Edoardo D'Angelo, La Passione di Valentino da Terni (BHL 8460): un martirio occulto di età postcostantiniana? in Massimiliano Bassetti, Enrico Menestò, San Valentino e il suo culto tra Medioevo ed Età contemporanea, Spoleto, 2012, XII, p. 179-222.
Edoardo D'Angelo, Terni Medievale. La città, la Chiesa, i santi, l'agiografia, Spoleto, 2015, pp. 226-242.
Edoardo D'Angelo, Valentino, santo, in Dizionario Biografico degli Italiani, Roma, 2020, pp. 833-835.
Edoardo D'Angelo. San Valentino vescovo e martire: dalla tradizione alla storia, Napoli, 2020.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.