Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Uchambuzi wa muachano

Uchambuzi wa Muachano (ANOVA)

Katika takwimu, Uchambuzi wa muachano (kwa Kiingereza: Analysis of Variance; kifupi: ANOVA) ni jaribio la takwimu ambalo linaweza kujaribu upweke kati ya wastani tatu au zaidi.

Uchambuzi wa muachano unapatwa kwa hesabu kama AOV.

Kwa programu ya takwimu R

Ili utafute Uchambuzi wa Muachano kwa lugha ya programu ya takwimu R uandike:

> fit<-aov(y~A, data=SampuliYangu) #y ni kibadilika na A ni vikundi

> summary(fit)

Marejeo

  • Saleh, A. M. E., & Ehsanes, M. (2001). An introduction to probability and statistics. Wiley.
  • Peck, R., Olsen, C., & Devore, J. L. (2015). Introduction to statistics and data analysis. Cengage Learning
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uchambuzi wa muachano kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Kembali kehalaman sebelumnya