Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Uchambuzi namba

Mfano wa uchambuzi namba katika kigae cha Babuloni YBC 7289 cha miaka 1800–1600 KK pamoja na ufafanuzi wa kitarakimu.[1]

Uchambuzi namba ni tawi la hisabati linalohusika na ukadiriaji bora wa maeneo ya maumbo katika uchambuzi wa kihisabati.

Ujuzi huo unatumika katika sayansi zote pamoja na uhandisi, hasa baada ya uenezi wa tarakilishi.

Tanbihi

  1. "Photograph, illustration, and description of the root(2) tablet from the Yale Babylonian Collection". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-08-13. Iliwekwa mnamo 2020-06-22.

Vyanzo

Viungo vya nje

Majarida

Vitabu mtandaoni

Vitini mtandaoni

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uchambuzi namba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Kembali kehalaman sebelumnya