Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Two in One

“Two in One”
Single ya Jahazi Modern Taarab
kutoka katika albamu ya Two in one
Imetolewa 2007
Muundo CD
Imerekodiwa 2007
Aina Taarab
Mtunzi Mzee Yusuf
Mtayarishaji Mzee Yusuf
Mwenendo wa single za Jahazi Modern Taarab
Two in One (2007) Mkuki kwa Nguruwe (2007)

Two in One ni wimbo wa kwanza kutoka albamu ya Two in One ya kundi la muziki wa taarab la Jahazi Modern Taarab. Wimbo ulitoka mnamo mwaka wa 2007, ikiwa chini ya utunzi, uimbaji na utayarishaji wake Mzee Yusufu.

Tazama pia

Viungo vya nje

Video ya Twon In One katika YouTube

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Two in One kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Kembali kehalaman sebelumnya