Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Roy Killin

Harold Roy Killin (alizaliwa 18 Julai 1929), anayejulikana kama Roy Killin ni mchezaji wa zamani wa soka wa kulipwa ambaye alicheza kama beki wa pembeni katika Ligi ya Soka kwa timu za Manchester United na Lincoln City F.C.[1][2][3]



Marejeo

  1. "Roy Killin (1952/54)". The Lincoln City FC Archive. Lincoln City F.C. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 26 Oktoba 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Lincoln City : 1946/47–1986/87 & 1988/89–2008/09". UK A–Z Transfers. Neil Brown. Iliwekwa mnamo 26 Oktoba 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Classic Encounters - Boston United vs Peterborough United". Boston United FC. Ken Fox. Iliwekwa mnamo 26 Oktoba 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Roy Killin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Kembali kehalaman sebelumnya