Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Richard Willstatter

Richard Willstatter

Richard Willstätter (13 Agosti 18723 Agosti 1942) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza mfumo wa dutu mbalimbali, kwa mfano vimeng'enya na alkaloidi. Mwaka wa 1915 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Richard Willstatter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Kembali kehalaman sebelumnya