Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Richard Henry Ackerman

Richard Henry Ackerman, C.S.Sp. (30 Agosti 190318 Novemba 1992) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki nchini Marekani.

Akiwa mtawa wa Shirika la Roho Mtakatifu (Holy Ghost Fathers), alihudumu kama askofu wa Jimbo Katoliki la Covington katika Kentucky, Marekani, kuanzia mwaka 1960 hadi 1978.[1]

Marejeo

  1. Curtis, Georgina Pell (1961). The American Catholic Who's Who. Juz. la XIV. Grosse Pointe, Michigan: Walter Romig.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Kembali kehalaman sebelumnya