Corey Woods (amezaliwa 12 Januari, 1970) ni msanii wa rap na hip hop kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Raekwon (pia huitwa "Raekwon the Chef"). Huyu ni mmoja kati ya wanaounda kundi zima la muziki wa hip la Wu-Tang Clan. Alitoa albamu yake ya kwanza akiwa kama msanii wa kujitegemea mnamo mwaka wa 1995. Albamu ilikwenda kwa jina la Only Built 4 Cuban Linx..., na akaendelea kufanya shughuli zake akiwa kama msanii wa kujitegemea huku akiwa na washikaji zake wa Wu-Tang Clan. Mnamo mwaka wa 2009, Raekwon ametoa toleo la pili la albamu yake ya kwanza na kuipa sifa ileile, Only Built 4 Cuban Linx... Pt. II.
Diskografia
Albamu
Kandamseto
Jina la Albamu
|
Tarehe ya Kutolewa
|
Only Built 4 the Streets
|
2003
|
Heroin Only
|
2006
|
R.A.G.U. (Rae and Ghost United)
|
2006
|
The Vatican Mixtape Vol. 1
|
2007
|
The Vatican Mixtape Vol. 2: The DaVinci Code
|
2007
|
The Vatican Mixtape Vol. 3: House of Wax
|
2007
|
R.A.G.U. Vol. 2 (Raekwon and Ghostface United Pt. 2)
|
2008
|
Blood On Chefs Apron
|
2009
|
Staten Go Hard[4]
|
2009
|
Single zake
Mwaka
|
Jina
|
Nafasi ya Chati
|
Albamu
|
U.S.
|
U.S. R&B
|
U.S. Rap
|
1994
|
"Heaven & Hell" (akimshirikisha Ghostface Killah)
|
—
|
102[5]
|
32
|
Fresh soundtrack and Only Built 4 Cuban Linx...
|
1995
|
"Incarcerated Scarfaces" / "Ice Cream" (akimshirikisha Ghostface Killah, Method Man, na Cappadonna)
|
37
|
37
|
5
|
Only Built 4 Cuban Linx...
|
"Glaciers of Ice" (akimshirikisha Ghostface Killah, Masta Killa, and Blue Raspberry)/ "Criminology" (akimshirikisha Ghostface Killah)
|
43
|
32
|
5
|
1999
|
"Live From New York"
|
—
|
—
|
30
|
Immobiliarity
|
2003
|
"Smith Bros."
|
—
|
—
|
—
|
The Lex Diamond Story
|
2004
|
"The Hood" (akimshirikisha Tiffany Villarreal)
|
—
|
—
|
—
|
2009
|
"New Wu" (akimshirikisha Ghostface Killah and Method Man)
|
—
|
—
|
—
|
Only Built 4 Cuban Linx... Part II
|
"House of Flying Daggers" (akimshirikisha GZA, Method Man, Inspectah Deck, Ghostface Killah)
|
—
|
—
|
—
|
"Catalina" (akimshirikisha Lyfe Jennings)
|
—
|
—
|
—
|
Akiwa kama mwimbaji mshirikishwa
Marejeo
Viungo vya nje
|
---|
Studio albums | |
---|
Collaborations | |
---|
Singles | |
---|
Other songs | |
---|
Related articles | |
---|
|
---|
|
Studio albamu | |
---|
Single | |
---|
Kompilesheni | |
---|
Makala zinazohusiana | |
---|
|
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Raekwon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|