Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Peter Shirayanagi

Peter Seiichi Shirayanagi (白柳誠一, Shirayanagi Seiichi; 17 Juni 192830 Desemba 2009) alikuwa Kardinali wa Kanisa Katoliki na Askofu Mkuu wa Tokyo.

Aliongoza Baraza la Maaskofu Katoliki wa Japani kuanzia 1983 hadi 1992.[1]

Marejeo

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Kembali kehalaman sebelumnya