Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Peter Elliott (askofu)

Peter John Elliott (alizaliwa 1 Oktoba 1943) ni askofu mstaafu wa Kanisa Katoliki kutoka Australia, ambaye alihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Melbourne kutoka 2007 hadi 2018.

Pia ni mwandishi wa vitabu kadhaa vinavyojikita hasa katika maadhimisho ya liturujia ya Kanisa Katoliki.[1][2]

Marejeo

  1. "Retired Bishops CAM". Catholic Archdiocese of Melbourne. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-11-20. Iliwekwa mnamo 19 Septemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Bishop Peter John Elliott Catholic-Hierarchy". Iliwekwa mnamo 19 Septemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Kembali kehalaman sebelumnya