Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Pascal Baurain

Pascal Baurain

Pascal Baurain (12 Septemba 19693 Septemba 2025) alikuwa mwanasiasa kutoka Ubelgiji aliyehudumu kupitia vyama vya Humanist Democratic Centre (CDH) na Les Engagés (LE) [1][2][3][4]

Wasifu

Pascal Baurain alizaliwa Mons, Ubelgiji, tarehe 12 Septemba 1969. Alikuwa wakili bingwa wa haki za watoto na sheria za biashara kabla ya kuingia katika siasa mwaka 2006. Alikuwa kiongozi wa upinzani katika mji wa Saint-Ghislaine na mbunge wa Wallonia. Alifariki kwa kuugua saratani ya njia ya nyongo mnamo 3 Septemba 2025 akiwa na umri wa miaka 55.

Marejeo

  1. "Le député wallon Pascal Baurain, de Saint-Ghislain, est décédé". La Province (kwa French). 3 Septemba 2025. Iliwekwa mnamo 3 Septemba 2025.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  2. Berlier, Emeline (11 Januari 2025). "Le Logis Saint-Ghislainois condamné". La Libre Belgique (kwa French). Iliwekwa mnamo 3 Septemba 2025.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  3. "Le Logis Saint-Ghislainois porte plainte contre Pascal Baurain". La DH Les Sports+ (kwa French). 30 Januari 2020. Iliwekwa mnamo 3 Septemba 2025.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  4. "Logis Saint-Ghislain: plainte à l'encontre de Pascal Baurain!". Sudinfo (kwa French). 30 Januari 2020. Iliwekwa mnamo 3 Septemba 2025.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pascal Baurain kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Kembali kehalaman sebelumnya