Párvusz'
Staili na kazi zakeStaili yake kubwa ni ile ya kutumia wino mweusi wa Kihindi. Pia kuna kipindi hutumia rangi za maji, lakini kikawaida hufanya kazi zake kwa kutumia staili moja tu ya picha yaani rangi nyeupe na nyeusi. Watu mashuhuri wa Kihungaria Endre Szász na Dutch M. C. Escher wameona kazi zake. Staili hii ilizaliwa mnamo mwaka 2004, tabia kuu anayoitumia kuchora picha zake ni kutengeneza miraba kadhaa na kuichanganya pamoja. Moja kati ya kazi zake za mwanzoni ni pamoja na ile iliyokuwa ikiitwa Homeland ya mwaka 2004. Mnamo mwaka 2009 amenza kutumia kwenye vibao. Kuna badhi ya kazi zake zimeshwahi kutumia kwenye maonyesho huko nchini Norway. Picha
Viungo vya Nje |