Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Open Learning for Development

Open Learning for Development (yaani: Mafunzo huria kwa Maendeleo) yanafafanua Jukwaa la Mafunzo ya Wazi, kituo cha mtandaoni kinachoendeshwa na UNESCO kinachotoa mafunzo bila malipo na rasilimali za kujifunzia juu ya mada mbalimbali za maendeleo. Lengo lake kuu ni kusaidia nchi zinazoendelea duniani kote na kukuza ushirikiano ili kutoa maudhui ya bure na ya wazi kwa ajili ya maendeleo

UNESCO imezindua jukwaa hili kwenye mtandao ili kutoa mafunzo na programu za kujenga uwezo na rasilimali. Haya yanatengenezwa na wahusika mbalimbali duniani kote katika masomo mbali mbali, yakiwemo kusoma na kuandika, kompyuta, biashara, mazingira, maendeleo ya jamii na mengine mengi.[1]

Mpango wa Jukwaa la Mafunzo ya Wazi unakusanya washirika kutoka mashirika yote ya Umoja wa Mataifa (FAO, ILO/ITC, ITU, UNESCO, UNITAR, UNV, WHO na UNEP), watendaji na mashirika ya maendeleo duniani kote, pamoja na NGOs za kanda na za mitaa na CBOs.

Marejeo

Kembali kehalaman sebelumnya