Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Modest Jonathan

Modest Jonathan Mero ni mwanadiplomasia wa Kitanzania. Amewahi kuwa Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva kuanzia mwaka 2013 hadi 2015.[1]

Marejeo

  1. https://www.ungeneva.org/en/news-media/journalists
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Modest Jonathan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Kembali kehalaman sebelumnya