Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Mlima Monduli

Mlima Monduli ni mlima wenye asili ya volkeno kaskazini mwa Tanzania.

Mlima una kimo cha mita 2,615 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Kembali kehalaman sebelumnya