Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Mlima Fogo

Mlima Fogo ni mlima mrefu kuliko yote ya Kabo Verde,

Ni volkeno hai na iko katika kisiwa cha Fogo.

Ina urefu wa mita 2,829.

Marejeo

Picha

Tazama pia

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Fogo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Kembali kehalaman sebelumnya