Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Mlima Enkamuka

Mlima Enkamuka unapatikana nchini Kenya. Ni kilele cha pili cha mlima Oldoinyo Orok, kaunti ya Kajiado.

Una urefu wa mita 2,308 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia

Kembali kehalaman sebelumnya