Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Michael Sheehan

Michael Jarboe Sheehan (9 Julai 1939 - 3 Juni 2023) alikuwa askofu kutoka Marekani wa Kanisa Katoliki ambaye aliwahi kuwa askofu mkuu wa kumi na moja wa Jimbo Kuu la Santa Fe huko New Meksiko kuanzia 1993 hadi 2015. Hapo awali aliwahi kuwa askofu Dayosisi ya Lubbock huko Texas kutoka 1983 hadi 1993.[1][2]

Marejeo

  1. Data Bio
  2. "Archbishop Michael Jarboe Sheehan [Catholic-Hierarchy]". www.catholic-hierarchy.org. Iliwekwa mnamo Januari 21, 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Kembali kehalaman sebelumnya