Severity: Notice
Message: Undefined offset: 1
Filename: infosekolah/leftmenudasboard.php
Line Number: 33
Line Number: 34
Michael Lynn Retzer (alizaliwa 1946), ni mwanasiasa wa Marekani, Mississippi ambaye alikuwa balozi wa Marekani nchini Tanzania kuanzia mwaka 2005 hadi 2007.[1]
Retzer alizaliwa mjini Bethesda, Maryland na Karl pamoja na Betty Retzer ana kaka wawili, Bill Retzer na Jere Retzer. Alihitimu mwaka 1968 na shahada ya fedha na masoko katika Chuo Kikuu cha Oregon Honours huko Eugene, Oregon. Kisha alifuata uongozi wa baba yake na kujiunga na Jeshi la anga la Marekani. Retzer alikuwa nahodha wa Jeshi la Anga la Marekani ambapo alipata Tuzo ya Utumishi Uliotukuka na medali ya Pongezi. Aliteuliwa rasmi katika bodi ya wakurugenzi na kamati kuu ya Benki ya Planters ya Mississippi.[2][3]
{{cite web}}