Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Maria Fu Guilin

Wafiadini Wakatoliki wa China.

Maria Fu Guilin (Luopo, 1863 hivi - Dailucun, 20 Julai 1900) alikuwa mwalimu mwanamke wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Mabondia.

Alitolewa kwa maadui wa Injili na kukatwa kichwa huku akimuitia Kristo Mwokozi[1]

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe 20 Julai[2].

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Kembali kehalaman sebelumnya