Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Marek Zalewski (askofu mkuu)

Marek Zalewski (alizaliwa 2 Februari 1963) ni askofu wa Polandi wa Kanisa Katoliki ambaye anafanya kazi katika idara ya kidiplomasia ya Vatikani.

Amekuwa Balozi wa Papa (Apostolic Nuncio) nchini Singapore tangu Mei 2018 na Mwakilishi Mkazi wa Kipapa nchini Vietnam tangu Desemba 2023.[1]

Marejeo

  1. Anh, Minh (2023-12-24). "Archbishop Zalewski appointed resident papal representative in Vietnam". The Investor Magazine. Iliwekwa mnamo 2024-02-22.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Kembali kehalaman sebelumnya