Manuel Neuer![]()
Neuer alikuwa golikipa bora wa Ujerumani, naye ameelezewa kama "sweeper-mlinzi" kwa sababu ya kipekee ya kucheza mtindo wake wa kasi, wakati wa kukimbilia mbali akifuata mpira kwenye mstari wake kutarajia wapinzani. Pia anajulikana kwa ajili ya kuruka kwa haraka sana. Neuer ameanzia timu ya Ujerumani iitwayo schakle04. Mnamo 2014, Neuer alimaliza wa tatu katika upigaji kura, nyuma ya Lionel Messi na Cristiano Ronaldo, kwa tuzo ya FIFA Ballon d'Or. Alipewa Kipa wa UEFA wa Mwaka na Kipa Bora wa Dunia. Kwa sasa bado ni kipa pekee aliyewahi kushinda Ballon d'Or.
|