Sehemu ya mfululizo kuhusu Uislamu
Usul al-Fiqh
Fiqhi
Ijazah (Cheti cha elimu ya Kiislamu)
Ijma (Makubaliano ya wanazuoni)
Ijtihad (Jitihada za kutoa hukumu)
Ikhtilaf (Tofauti za maoni ya wanazuoni)
Istihlal (Kuruhusu kitu kilichokatazwa)
Istihsan (Kutoa hukumu kwa kuzingatia manufaa)
Istishab (Kutegemea hali iliyokuwepo kabla ya shaka)
Madhhab (Madhehebu ya Kiislamu)
Madrasah (Shule ya Kiislamu)
Maslaha (Manufaa ya umma)
Qiyas (Kulinganisha hukumu)
Taqlid (Kufuata maoni ya wanazuoni)
Taqwa (Kumcha Mwenyezi Mungu)
Urf (Desturi zinazoambatana na Uislamu)
Ahkam (Hukumu)
Fard (Wajibu wa kidini)
Mustahabb (Ibada inayopendekezwa)
Halal (Kitu kilicho ruhusiwa)
Mubah (Linaloruhusiwa lakini si lazima)
Makruh (Linalochukiza lakini si haramu)
Haram (Kilichokatazwa)
Baligh (Mtu aliyefikia baleghe)
Batil (Kitu batili au batili kisheria)
Bid'ah (Uzushi katika dini)
Fahisha (Matendo machafu)
Fasiq (Mwenye uovu wa dhahiri)
Fitna (Machafuko au jaribio)
Fasad (Uharibifu au ufisadi)
Ghibah (Usengenyaji)
Gunah (Dhambi)
Haya (Haya au uadilifu)
Hirabah (Uasi wa kivita)
Islah (Marekebisho au suluhu)
Istighfar (Kuomba msamaha)
Istishhad (Ushahidi au kufa shahidi)
Jihad (Jitihada au mapambano kwa ajili ya dini)
Qasd (Nia au makusudio)
Sunnah (Desturi na mwenendo wa Mtume)
Tafsir (Ufafanuzi wa Qurani)
Taghut (Matendo ya udhalimu na upotovu)
Taqiyya (Kuficha imani kwa dharura)
Tawbah (Toba au kurejea kwa Mungu)
Tazkiah (Usafi wa kiroho)
Thawab (Malipo ya matendo mema)
Wasat (Utiifu wa wastani katika Uislamu)
Wadhifa na Vyeo vya Kisheria
Madrasa
Madrasa (kutoka مدرسة, madrasah, neno la Kiarabu lenye maana ya shule , chuo au chuo kikuu [ 1] ) katika Kiswahili ni mahali panapotolewa mafunzo ya Kurani kwa watoto wa Kiislamu . Mara nyingi yanapatikana karibu na mskiti .
Tanbihi
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu . Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .