Kenya Commercial Bank (Uganda)
Kenya Commercial Bank (Uganda) (KCB), pia hujulikana kama KCB Uganda ni benki ya biashara nchini Uganda. Inalenga kutimiza mahitaji ya kibenki ya watu binafsi na makampuni. Kundi la Kenya Commercial Bank![]() Kenya Commercial Bank (Uganda) ni mwanachama wa kampuni za KCB Group, ambazo ni:
KCB Group ndio kundi kubwa zaidi ya huduma za kifedha katika Afrika Mashariki, pamoja na wigo wa mali zaidi ya juu US $ 2.5. Kotoka Julai 2009, KCB Group ina mtandao wa mkubwa zaidi wa matawi ya benki likijumuisha zaidi ya matawi 180 nchini Kenya, Rwanda, Sudan Kusini, Tanzania na Uganda. HistoriaMnamo Novemba 2007, tawi la kwanza la KCB Uganda lilifunguliwa Kampala nchini Uganda, baada ya kupewa leseni na Benki ya Uganda. Tangu wakati huo, KCB Uganda imefungua matawi zaidi ya kumi na tatu nchini Uganda. KCB Group inamiliki 100% ya KCB Uganda. Hisa ya KCB Group ni hufanyiwa biashara katika masoko ya hisa ya Afrika Mashariki yafwatayo chini ya kiashirio "KCB":[1]
Mtandao wa matawiKCB Uganda ina mtandao wa matawi kumi na nne mashariki, kaskazini na magharibi mwa Uganda. Miongoni mwa maeneo ambako benki hili lina matawi ni:[2][3]
Angalia piaMarejeo
Viungo vya nje
|