Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Joseph Ndunguru

Joseph Nduguru
UraiaMtanzania
Kazi yakeMtaalamu wa Virusi vya Mimea
MwajiriTaasisi ya Utafiti wa Kilimo Mikocheni (MARI)

Joseph Ndunguru ni mtaalamu wa Virusi vya Mimea (Molecular Plant Virologist), anayefanya kazi kwa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi nchini Tanzania katika Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Mikocheni (MARI) iliyopo Mikocheni, akiwa Mkuu wa Kituo kuanzia mwaka 2012 hadi sasa. [1] [2]Pia ni Mratibu wa Kitaifa wa Utafiti wa Bioteknolojia nchini Tanzania.[3] [4] [5]

Shauku yake ya utafiti ni kuelewa virusi vya mimea katika ngazi ya molekuli, kubuni zana za utambuzi, na kuandaa mikakati ya kudhibiti virusi vya mimea vinavyoathiri mazao yenye umuhimu wa kiuchumi barani Afrika.[6]

Marejeo

  1. https://edition.cnn.com/2017/07/11/africa/cassava-disease-east-africa/index.html
  2. https://web.archive.org/web/20150324165041/http://tanzaniazalendo.org/our-nation/the-people/the-great-tanzanian/
  3. https://web.archive.org/web/20210410105336/http://www.cassavawhitefly.org/people/56-joseph-ndunguru
  4. https://cassavavirusactionproject.wordpress.com/team/
  5. https://agshare.today/meet-the-scientists/
  6. https://www.cassavavirusevolution.org/content/joseph-ndunguru
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joseph Ndunguru kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Kembali kehalaman sebelumnya