Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Joseph Henry Sharp

Joseph Henry Sharp (27 Septemba 1859 - 29 Agosti 1953) alikuwa mchoraji wa nchini Marekani na mwanachama mwanzilishi wa Jumuiya ya Wasanii ya Taos (Taos Society of Artists) ambayo anachukuliwa kuwa "Baba wa Kiroho".[1]

Marejeo

  1. "JH Sharp Paintings, Highest Prices Paid, Specializing in Joseph Henry Sharp". Joseph Henry Sharp Paintings (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2025-04-09.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joseph Henry Sharp kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Kembali kehalaman sebelumnya