Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Joseph Djida

Joseph Djida, O.M.I. (8 Aprili 19456 Januari 2015) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki.

Alipata daraja ya upadre mwaka 1976 na mwaka 2000 aliteuliwa kuwa askofu wa pili wa Jimbo Katoliki la Ngaoundéré, Kamerun. Alihudumu hadi alipofariki akiwa bado madarakani. [1]

Marejeo

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Kembali kehalaman sebelumnya