Invincible (albamu ya Michael Jackson)
Invincible ni albamu ya kumi ya mwimbaji, mwanamuziki, mtayarishaji wa rekodi, mfanyabishara, na mhisani wa Marekani, Michael Jackson. Albamu ilitolewa na studio ya Epic Records mnamo tar. 30 Oktoba 2001, miaka sita tangu kutolewa kwa albamu yake ya 1995 yenye matoleo mawili kwa pamoja, HIStory. Albamu hii imeingiza nyimbo mpya tu tangu kutolewa kwa albamu ya Dangerous mnamo mwaka wa 1991. Kasha la aalbamu, lina picha ya sura ya Jackson, inapatika katika rangi tano tofauti - nyekundu, kijani, chungwa, buluu na fedha. Hadi leo, albamu imekadiriwa kuuza kati ya nakala milioni 8 - 12 kwa hesabu ya dunia nzima.
Matayarisho
Albamu imekuwa ya kwanza kutoa nyimbo zoote mpya tangu kutolewa kwa albamu ya Dangerous ya mwaka wa 1991.[2] Katika upande wa utayarishaji ulishikiriwa na wasanii kadhaa kama vile Rodney Jerkins, R. Kelly na mwanachama wa zamani wa kundi la muziki wa R&B la Jodeci, DeVante Swing. Mtayarishaji wa hip hop Dr. Dre naye aliombwa atayarishe albamu, lakini alikataa.[3]
Orodha ya nyimbo
Mtunzi (wa) |
1. |
"Unbreakable" (Akimshirikisha The Notorious B.I.G.; sauti za nyuma zimefanywa na Brandy Norwood) | Jackson, Daniels, Jerkis, Payne, Smith, Wallace |
6:26 |
2. |
"Heartbreaker" | Jackson, Jerkins, Jerkins III, Daniels, Mischke, Gregg |
5:09 |
3. |
"Invincible" | Jackson, Daniels, Gregg, Jerkins, Jerkins |
4:46 |
4. |
"Break of Dawn" | Jackson, Dr. Freeze |
5:32 |
5. |
"Heaven Can Wait" | Jackson, Riley, Heard, Smith, Beal, Laues, Quiller |
4:49 |
6. |
"You Rock My World" (Introductory skit featuring Chris Tucker) | Jackson, Daniels, Jerkins, Jerkins, Payne |
5:39 |
7. |
"Butterflies" (Akimshirikisha Marsha Ambrosius) | Harris, Ambrosius |
4:40 |
8. |
"Speechless" | Jackson |
3:18 |
9. |
"2000 Watts" | Jackson, Riley, Gibson, Henson |
4:24 |
10. |
"You Are My Life" | Jackson, Babyface, Sager, McClain |
4:33 |
11. |
"Privacy" | Jackson, Belle, Daniels, Jerkins, Jerkins |
5:05 |
12. |
"Don't Walk Away" | Jackson, Riley, Stites, Vertelney |
4:24 |
13. |
"Cry" (Cry pia uliitwa (We Can Change The World)) | R. Kelly |
5:00 |
14. |
"The Lost Children" | Jackson |
4:00 |
15. |
"Whatever Happens" (Gitaa na Carlos Santana) | Jackson, Riley, Quay, Williams |
4:56 |
16. |
"Threatened" (contains snippets from Rod Serling) | Jackson, Jerkins, Jerkins III, Daniels |
4:18 |
77:08 |
Chati zake
Chati (2001/2002)
|
Nafasi iliyoshika
|
Matunukio
|
Mauzo/Upelekaji wa nchi za nje
|
Australian Albums Chart
|
1[4]
|
2x Platinum [5]
|
140,000
|
Austrian Albums Chart
|
2[6]
|
Gold[7]
|
20,000
|
Canadian Top 50
|
3
|
Uncertified [8]
|
<50,000
|
Danish Albums Chart
|
1[9]
|
Gold
|
25,000
|
Dutch Albums Chart
|
1[10]
|
Platinum[11]
|
80,000
|
Finnish Albums Chart
|
7[12]
|
Gold[13]
|
16,621
|
French Albums Chart
|
1[14]
|
2x Platinum
|
575,000[15]
|
German Albums Chart
|
1
|
Platinum[16]
|
300,000
|
Japanese Albums Chart
|
5
|
Platinum
|
200,000[17]
|
Norwegian Albums Chart
|
1[18]
|
Platinum[19]
|
50,000
|
Portuguese Albums Chart
|
8[20]
|
Gold[21]
|
20,000
|
Swedish Albums Chart
|
1[22]
|
Gold
|
40,000
|
Turkish Albums Chart
|
1[22]
|
Platinum
|
120,000
|
U.S. Billboard 200
|
1
|
2x Platinum[23]
|
9,100,000[24][25][26]
|
UK Albums Chart
|
1
|
Platinum[27]
|
350,000
|
Marejeo
Vyanzo zaidi
|