Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Hal Willis

Hal Willis (alizaliwa Léonald Francis Gauthier; 15 Julai, 1933 – amefariki 4 Septemba, 2015) alikuwa mwimbaji wa muziki wa country kutoka Kanada ambaye aliishi Nashville, Tennessee, Marekani. Alizaliwa katika Rouyn-Noranda, Quebec, mtoto mdogo wa Alfred na Evelina Gauthier.[1][2]

Marejeo

  1. "LifeNotes: Canadian Country Star Hal Willis Passes". MusicRow – Nashville's Music Industry Publication – News, Songs From Music City. Septemba 9, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Oermann, Robert K. (Septemba 9, 2015). "LifeNotes: Canadian Country Star Hal Willis Passes". MusicRow. Iliwekwa mnamo Septemba 13, 2018.{{cite magazine}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hal Willis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Kembali kehalaman sebelumnya