Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Emile Saimovici

Emile Saimovici (alizaliwa Aprili 10, 1993) ni mchezaji wa soka anayecheza katika klabu ya Burnaby FC kwenye Ligi ya kwanza ya British Kolumbia. Alizaliwa nchini Singapuri, lakini anaiwakilisha Timu ya taifa ya soka ya Barbados. Mbali na Barbados amecheza soka nchini Kanada na Marekani.[1][2]


Marejeo

  1. Gilkes, Renaldo (14 Machi 2021). "Barbados Tridents Emile Saimovici excited to honour grandfather". Loopnews Barbados. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-03-16. Iliwekwa mnamo 31 Machi 2021.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "2013-14 OCAA Men's Soccer Awards". Ontario Colleges Athletic Association. Iliwekwa mnamo 31 Machi 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emile Saimovici kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Kembali kehalaman sebelumnya