Delaware ni jimbo dogo lenye eneo la km² 6,452 na wakazi 783,600 pekee. Kati ya majimbo ya Marekani ni jimbo lenye mapato ya juu kwa kila raia. Sheria zake za kodi ya mapato ni nafuu, hivyo makampuni mengi yamepeleka ofisi zake hapa. Vinginyevyo uzalishaji ni hasa mazao ya kilimo pamoja na ufugaji wa kuku.
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Delaware kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.