Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Daniel Labille

Daniel Camille Victor Marie Labille (15 Oktoba 193231 Desemba 2022) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki nchini Ufaransa.

Alizaliwa nchini Ufaransa akapadrishwa mwaka 1956. Labille alihudumu kama askofu wa jimbojina la Fata na askofu msaidizi wa Dayosisi ya Soissons kutoka 1978 hadi 1984, kisha akawa askofu wa dayosisi hiyo kutoka 1984 hadi 1998.

Baadaye, alihudumu kama askofu wa Dayosisi ya Créteil kutoka 1998 hadi alipoastaafu mwaka 2007.[1]

Marejeo

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Kembali kehalaman sebelumnya