Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Charlene Richard

Charlene Marie Richard (13 Januari 194711 Agosti 1959) alikuwa msichana wa miaka kumi na miwili kutoka Richard, Louisiana, Marekani.

Anajulikana kwa imani maarufu kwamba alifanya miujiza kadhaa. kwa miaka mingi mapadri wa Kanisa Katoliki wa eneo hilo na maafisa wa jimbo waliruhusu, kuhamasisha, na kushiriki katika kumpa heshima kabla ya kutangazwa kuwa Mtumishi wa Mungu.[1][2][3]

Marejeo

  1. Gaudet, Marcia (1994). "Folk Veneration Among the Cajuns". Southern Folklore. 51 (2): 153–66.
  2. "Mass today honors 'Little Cajun Saint'". Daily Advertiser. Lafayette, LA: Gannett. 7 Agosti 2009.
  3. Gagliano, Katie (11 Januari 2020). "Lafayette diocese launches pathway to sainthood for 2 Acadiana residents; third to follow". Acadiana Advocate. Iliwekwa mnamo 10 Machi 2020.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Kembali kehalaman sebelumnya