Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Calum Graham

Calum Graham ni mpiga gitaa wa Mtindo wa kupiga kwa vidole. Mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Kanada. Amefundishwa muziki wa gitaa la kiasili, lakini hutumia mbinu ya kupiga kwa mapigo. Ametoa albamu nne.[1][2]


Marejeo

  1. "30 Great Guitarists Under 30". Acousticguitar.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Desemba 9, 2014. Iliwekwa mnamo Novemba 27, 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Stampede Talent Search Winner Calum Graham from High River". Highriveronline.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-08-18. Iliwekwa mnamo Novemba 27, 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Calum Graham kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Kembali kehalaman sebelumnya