BASIC
BASIC ni lugha ya programu. Iliundwa na John George Kemeny na ilianzishwa tarehe 1 Mei 1964. Iliundwa ili kuumba programu. Leo tunatumia Mono BASIC. Ilivutwa na FORTRAN. Inaitwa BASIC kwa sababu ni kifupi cha "Beginners' All-purpose Symbolic Instruction Code". HistoriaIlianzishwa 1 Mei 1964 nchini Marekani. Lakini John George Kemeny alianza kufanya kazi kuhusu BASIC mwaka wa 1960. FalsafaNamna ya BASIC ni namna ya utaratibu na inaozingatiwa kuhusu kipengee. SintaksiaSintaksia ya BASIC ni rahisi sana, kinyume cha lugha za programu nyingine kama C++, COBOL au C sharp. Ilivutwa na sintaksia ya FORTRAN, lugha ya programu nyingine. Mifano ya BASICProgramu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !». 10 PRINT "Jambo ulimwengu !"
20 END
Programu kwa kupata factoria ya namba moja. INPUT "INGIA NAMBA MOJA:", N
F = 1
FOR I = 1 TO N
F = F * I
NEXT I
PRINT "FACTORIA NI", F
END
TanbihiMarejeo
|